#Local News

MASHIRIKA YA KIRAIA YATAKA MAREKEBISHO YA UCHAGUZI KUHARAKISHWA

Mashirika ya kiraia yameonya kuwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 yanaweza kukumbwa na changamoto iwapo marekebisho muhimu ya mfumo wa uchaguzi hayatatekelezwa kwa haraka.

Mashirika hayo yanaitaka Bunge kuharakisha mchakato wa kutekeleza mageuzi hayo, yakiwemo yale yaliyoainishwa katika uamuzi wa Mahakama ya Malindi kuhusu muda wa kufanyika kwa uchaguzi mkuu.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *