#Local News

 MOTO WATEKETEZA MAJENGO KANGEMI

Moto umezuka katika majengo ya makazi katika eneo la Posta, Kangemi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa ndani ya majengo hayo.

Timu ya kuzima moto ya Serikali ya Kaunti ya Nairobi inaendelea na juhudi za kudhibiti moto huo, huku chanzo cha moto huo kikiwa  bado hakijabainika  na idadi ya watu walionaswa au kujeruhiwa ikiwa bado haijafahamika.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *