#Local News

CHAMA CHA WAHADHIRI NCHINI CHATISHIA KUGOMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu UASU, Dkt Constantine Wasonga, ameonya kuwa wahadhiri wataendelea na mpango wa kugoma mwezi ujao iwapo serikali haitatia saini mkataba wa maelewano wa mwaka 2025.

Wasonga amesema wahadhiri wanatarajia serikali kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa na kutia saini mkataba huo, huku akisisitiza kuwa kushindwa kufanya hivyo kutawalazimu kuchukua hatua ya mgomo,

Amesema UASU iko tayari kuendelea na mazungumzo na serikali ili kutatua suala hilo, lakini iwapo mkataba huo hautatiwa saini, wahadhiri wataanza mgomo kama ulivyopangwa mwezi ujao,

Imetayarishwa na Hilda Ajema

CHAMA CHA WAHADHIRI NCHINI CHATISHIA KUGOMA

WAJUMBE WA ODM WAKUTANA  NAIROBI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *