#Local News

BAADHI YA VIONGOZI KUTOKA MLIMA KENYA WAMTEMA GACHAGUA

Baadhi ya viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya wamemkosoa kinara wa DCP Rigathi Gachagua, wakimtuhumu kwa kuwadharau na kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa eneo hilo kisiasa.

Viongozi hao wamesema kauli na misimamo ya Gachagua imekuwa ikiwagawa viongozi wa Mlima Kenya, huku wakimtaka kuheshimu viongozi wenzake na kuzingatia masuala yanayolenga kuleta umoja katika eneo hilo.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *