#Local News

WAMALWA: GHASIA ZINAWEZA KUIREJESHA KENYA ICC

Kiongozi wa chama cha DAP-K Eugene Wamalwa ameonya kuwa Kenya inaweza kujikuta tena mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC iwapo ghasia za kisiasa zitaendelea kushika kasi.

Wamalwa amesema hali inayoshuhudiwa sasa inalikumbusha taifa machungu ya ghasia za uchaguzi wa 2007 na 2008, akisisitiza kuwa siasa za vurugu zinaweza kuwa na madhara makubwa kwa nchi na viongozi wanaohusika.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

WAMALWA: GHASIA ZINAWEZA KUIREJESHA KENYA ICC

SAA YA UCHAGUZI 2027 YAANZA RASMI

WAMALWA: GHASIA ZINAWEZA KUIREJESHA KENYA ICC

NYORO: PPK SIO MRADI WA SERIKALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *