#Football #Sports

MAN UNITED YAONGEZA OFA YA KUMSAJILI BALEBA

Manchester United imewasilisha ofa ya zaidi ya euro milioni 70 pamoja na euro milioni 6 za nyongeza kwa Brighton kwa ajili ya kumsajili kiungo Carlos Baleba.

Hata hivyo, bado hakuna makubaliano kati ya klabu hizo huku United ikitarajiwa kuwasilisha ofa nyingine katika juhudi za kukamilisha uhamisho huo.

Baleba amekuwa akitaka kujiunga na Manchester United tangu Agosti 2025, huku klabu hiyo ikimlenga kama nyongeza muhimu katika safu yake ya kiungoy.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *