#Local News

GACHAGUA ASHIKILIA MADAI YAKE KUHUSHU KIFO CHA JOANA NGENO

Kiongozi wa DCP Rigadhi Gachagua ameshikilia musimamo wake wa kutaka maelezo kuhusiana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa Enurua Dikir Joana Ng’eno huku akimtuhumu Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kwa kulenga kumzuia kufika nyumbani kwake

Akizungumza katika makazi ya Nge’eno katika kaunti ya Narok Gachagua amesema hatanyamazishwa kuzungumzia kifo cha Ng’eno anayemtaja kuwa rafikiye.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *