#Local News

VIONGOZI WA UDA WAMRAI KHALWALE KUJIUNGA NA CHAMA HICHO

Viongozi wa UDA hii leo wametoa wito kwa  seneta wa Kakamega Bony Khalwale kurejea katika chama cha UDA

Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula ambaye ni miongoni mwa viongozi amboa wamehudhuria mazishi ya mkewe Bony Khalwale mam Gloria Sekiayan Khalwale  amewakilisha ujumbe kutoka kwa rais William Ruto kumkumbusha seneta huyo kuwa ni mwanachama wa UDA licha ya Khalwale kuonekana akishirikiana kwa ukaribu na upinzani.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *