MAN CITY KUKAMILISHA MAZUNGUMZO YA KUMSAJILI BOUADDI
Manchester City na Lille zinatarajiwa kufanya mazungumzo mapya kuhusu uhamisho wa kiungo Ayyoub Bouaddi, huku pande hizo zikifikia hatua za mwisho za makubaliano
Bouaddi anasubiri tu idhini ya kusafiri kwa ajili ya vipimo vya afya kabla ya kukamilisha uhamisho wake na kujiunga na Manchester City
Mazungumzo hayo yanaendelea huku klabu hizo zikilenga kukamilisha rasmi uhamisho wa Bouaddi katika hatua za mwisho za mchakato huo.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































