#Local News

TSC KUWAPA WALIMU MAFUNZO YA CBE

Walimu wa shule za upili za juu yaani Senior Secondary, wameratibiwa kupokea mafunzo upya kuhusu mtaala wa umilisi CBE katika maandalizi ya kuanzishwa kwa mtaala huo katika shule hizo.

Kulingana na tume ya kuwaajiri walimu TSC, mafunzo hayo yatatolewa kuanzia tarehe 28 mwezi huu hadi tarehe 15 mwezi ujao kwenye maeneo yatakayoteuliwa kwenye kaunti zote nchini.

Kupitia waraka kwa wakuu wa elimu wa maeneo, zoezi hilo linawalenga walimu walio katika shule za kawaida za upili, shule za wanafunzi walio na mahitaji maalum, na taasisi za kutoa mafunzo ya kiufundi.

Imetayarishwa na Maureen Amwai

TSC KUWAPA WALIMU MAFUNZO YA CBE

MOSHI MWEUPE KWA MBEUMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *