#Football #Sports

UEFA YAENDELEA

Mechi ya 6 kati ya 8 za ligi ya klabu bingwa bara Ulaya itasakatwa usiku huu ambapo jumla ya mechi 9 zitachezwa katika nyuga mbali mbali.

Miongoni mwa mechi kuu ni pambano kati ya Barcelona na Eintracht Frankfurt, na Bayern Munich dhidi ya Sporting na kisha Inter Milan dhidi ya Liverpool.

Iwapo Bayern na Inter watapata ushindi wa angalau mabao 5, watakuwa juu ya viongozi Arsenal kwa muda kabla ya mechi za hapo kesho.

Kwa sasa Kylian Mbappe wa Real Madrid anaongoza kwa ufungaji wa magoli akiwa amefunga mara 9, akifuatwa na Victor Osimhen wa Galatasaray kwa mabao 6 huku Erling Halaand akifunga 3 bora kwa mabao 5.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UEFA YAENDELEA

DROO YA FA RAUNDI YA 3

UEFA YAENDELEA

MASWALI KUHUSU MAN UNITED

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *