MGAWANYIKO ODM: KINARA ALAUMIWA
Baadhi ya viongozi wanaoegemea chama cha ODM wamemkosoa kinara wao Oburu Oginga kuhusiana na misukosuko inayokumba chama hicho, wakidai Oginga ameonyesha miegemeo.
Miongoni mwao ni naibu kinara hicho na seneta wa Vihiga Godfrey Otsotsi, akisema Oginga na kiongozi wa walio wachache bungeni Junet Mohammed wamepuuza wosia wa mjane wa kinara mwanzilishi wa ODM Raila Odinga- Ida Odinga.
Ametoa wito wa kusuhishwa kwa migawanyiko chamani.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































