#Local News

WAKAZI WAMWOMBOLEZA NG’ENO

Mamia ya wakazi wanaendelea kumiminika nyumbani kwa mbunge wa Emurwa Dikiir Johanna Ng’eno kuomboleza kifo chake kilichosababishwa na ajali ya ndege Jumamosi eneo la Mosop kaunti ya Nandi.

Waombolezaji wamemtaja mbunge huyo kama kiongozi mnyenyekevu na aliyejitolea kuwatumikia wakazi, hasa katika kuhakikisha kuimarishwa kwa miundomsingi ya elimu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAKAZI WAMWOMBOLEZA NG’ENO

UCHUNGUZI WA AJALI YA NDEGE MOSOP

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *