MGAO WA FEDHA ZA KAUNTI HATIMAYE UMEWASILI
Baraza la bajeti na uchumi baina ya serikali kuu na serikali za kaunti IBEC limepongeza wizara ya fedha kutoa kwa wakati fedha za kaunti za July na Agosti
Akizungumza baada ya kikao cha 30 cha IBEC jijini Nairobi Naibu wa Rais profesa Kithure kindiki amesema amerithishwa na kupitishwa kwa sheria za mgao wa mapato kwa kaunti mwaka 2026
Mwenyekiti wa baraza la magavana COG Ahmed Abdulahi ameitaka wizara ya fedha kuondoa vikwazo vinavyo chelewesha matumizi ya fedha hizo.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































