SENETA MAANZO; WABUNGE WALIKOSA KUPEWA PESA NA GACHAGUA WAKAAMUA KUMBANDUA MAMLAKANI
Seneta wa Makueni Dan Maanzo amepuuzilia mbali ombi linaloendelea la kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua kama akisema k,uwa ni “mzaha mkubwa,” akilinganisha na haki ya kundi la watu kwa kile anachodai ni kushindwa kwa DP kutoa takrima kwa Wabunge.
Maanzo ameibua madai wabunge wanaounga mkono kuondolewa kwa Gachagua walitarajia kuwapa pesa kutoka kwa mgao wake wa matumizi ya siri na baada ya Gachagua kukosa kutimiza hilo wakaamua kumtimua.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































