LUSAKA AHIMIZA UADILIFU SERIKALINI MWAKE
Maafisa wa serikali ya kaunti ya Bungoma wametakiwa kudumisha uadilifu, umoja na uwajibikaji serikali hiyo inapoangazia kuimarisha utendakazi na ukamilishaji wa miradi ya maendeleo iliyokwama.
Akizungumza mapema leo kwenye kikao na wafanyakazi hao, gavana wa Bungoma Ken Lusaka amesema hatua hiyo ni muhimu katika utendakazi wa serikali hiyo kwa wananchi.
Kulingana na naye, migawanyiko itakwamisha maendeleo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 



























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































