#Local News

SIFUNA APINGA MKATABA WA USHIRIKIANO KATI YA KAUNTI NA SERIKALI KUU

Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amemtaka Gavana Johnson Sakaja kufutilia mbali mkataba aliotia sahihi na serikali kuu kuhusu ushirikiano wa utendakazi wa kaunti.

Sifuna amesema makubaliano hayo ni kinyume cha sheria na ameahidi kuongoza pingamizi dhidi yake hadi mahakamani.

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino naye ameungana na Sifuna, akisema mkataba huo wa ushirikiano unakiuka sheria pamoja na mwongozo wa uendeshaji wa kaunti.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *