#Local News

KENYA YAKABILIWA NA UHABA WA MAFUTA

Kenya inakabiliwa na uhaba wa mafuta ambao huenda ukaathiri uchukuzi, madereva wakiripoti ugumu wa kupata bidhaa hiyo licha ya serikali kusisitiza kuwa taifa lina akiba ya kutosha.

Miongoni mwa maeneo ambako foleni ndefu zimeshuhudiwa katika vituo vya kuuza mafuta ni Magharibi mwa nchi, Kisii na bonde la ufa.

Wameitaka serikali kuweka wazi hali halisi ya kiwango cha mafuta nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *