#Local News

MANYURU AITAKA SERIKALI KUWASIKIZA VIJANA

Kiongozi wa kanisa la Jesus Teaching Ministry JTM, Apostle Peter Manyuru, ameitaka serikali kutoa kipaumbele kwa malalamishi ya vijana wa kizazi cha Gen Z mwaka huu wa 2026 kama njia mojawapo ya kutatua changamoto za kiuongozi nchini.

Kwenye ujumbe wake wa kuukaribisha mwaka mpya, Apostle Manyuru ametaja ukosefu wa ajira, ufisadi na ukatili wa polisi kama changamoto kuu zinazokabiliwa na vijana nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MANYURU AITAKA SERIKALI KUWASIKIZA VIJANA

OGAMBA: KARO HAIJAPANDISHWA

MANYURU AITAKA SERIKALI KUWASIKIZA VIJANA

RUTO AUKEJELI UPINZANI, MUSYOKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *