#Local News

SAKAJA MBELE YA SENETI KUELEZA MKATABA

Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja yuko mbele ya bunge la seneti anakokabiliwa na kibarua cha kueleza mkataba wa ushirikiano kati ya serikali yake na serikali kuu uliotiwa saini takribani moja iliyopita.

Akiwa mbele ya bunge hilo, Sakaja ametetea mkataba huo licha ya tuhuma kwamba amepokonywa mamlaka ya serikali kuu, akisema utaipa kaunti fedha za ziada kuboresha huduma.

Mkataba huo unahusu ushirikiano katika baadhi ya majukumu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SAKAJA MBELE YA SENETI KUELEZA MKATABA

USAMBAZAJI WA DAWA ZA KUKABILI HIV WAANZA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *