#Local News

WAZAZI WASHAURIWA KUTHIBITI MATUMIZI YA MITANDAO KWA VIJANA

Wito umetolewa kwa wazazi kuwashauri wanao kuhusi mathara yanayoweza kutokana na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Kiranja wa wachache katika bunge la kitaifa Milly Odhiambo amewakosoa vijana kufuatia matumizi mabaya ya kijamii kwa kuwashambulia viongozi mitandaoni.

Vile vile amekashifu matukio ya hivi majuzi ambapo wakenya wanaokosoa serikali mitandaoni wamekuwa wakitekwa nyara kiholela bila hatua yoyote kuchukuliwa akitaja hatua hiyo kama ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAZAZI WASHAURIWA KUTHIBITI MATUMIZI YA MITANDAO KWA VIJANA

MARY MUTHONI; HAKUNA HMPV KENYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *