#Local News

VIONGOZI WASHINIKIZA ‘AJALI’ YA JIRONGO ICHUNGUZWE

Baadhi ya viongozi kutoka Magharibi mwa nchi wameendelea kutilia shaka kifo cha aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo kwenye ajali ya barabarani, licha yake kuzikwa hapo jana.

Wakizungumza kwenye hafla ya mazishi, viongozi hao akiwemo seneta wa Kakamega Boni Khalwale na mwenzake wa zamani wa Vihiga George Khaniri, wameitaka idara ya usalama kufanya uchunguzi huru na wazi kwenye ajali hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

VIONGOZI WASHINIKIZA ‘AJALI’ YA JIRONGO ICHUNGUZWE

WAZAZI: WATOTO WETU WAMESHUSHWA HADHI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *