#Local News

BUNGE KUANZA KIKAO MAPEMA

Bunge la Kitaifa litarejea kwa kikao chake cha mwisho mapema kuliko ilivyo kawaida ili kuwapa wabunge muda wa kutosha kufanya kampeni kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.

Kulingana na Karani wa Bunge la Kitaifa, Samuel Njoroge, kikao hicho ambacho kwa kawaida huanza mwezi Februari sasa kitaanza mapema mwezi Januari mwaka ujao katika mwaka wa mwisho wa muhula wa Bunge.

Njoroge amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wabunge hawapati hasara ya kisiasa kwa kusalia Nairobi ilhali wapinzani wao wako mashinani wakihamasisha wapiga kura.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

BUNGE KUANZA KIKAO MAPEMA

RUTO AKUTANA NA MABALOZI IKULU

BUNGE KUANZA KIKAO MAPEMA

KALONZO ATETEA AZIMIO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *