#uncategorized

NCIC YAWATAKA WAKENYA KUDUMISHA AMANI NA MUSHIKAMANO

Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano, NCIC, imewataka Wakenya kudumisha amani na mshikamano nchini.

Tume hiyo imewahimiza viongozi wa kisiasa na wananchi kuepuka matamshi ya chuki, uchochezi na vitendo vya vurugu vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa taifa, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.

NCIC imesisitiza umuhimu wa viongozi na wananchi kushirikiana kujenga mazingira ya amani, umoja na maelewano nchini.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *