#Local News

MUSALIA MUDAVADI AKIRI KUWA UCHAGUZI UJAO UTAKUWA WA HURU NA HAKI

Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amezungumza akiwa kwenye kikao tofauti amesema uchaguzi mkuu ujao utakuwa huru na wa haki

Mudavadi amepuuzilia mbali hofu ya viongozi wa upinzani kwamba huenda matokeo ya uchaguzi haswa ya urais yakavurugwa na serikali ili kumbakiza rais William RUTO madarakani.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *