#Local News

WASHUKIWA WA WIZI WA SIMU WANASWA MPEKETONI

Maafisa wa polisi eneo la mpeketoni kaunti ya Lamu wamewakamata washukiwa wa wizi wa simu, udukuzi na kuhitilafiana na data za watu.

Washukiwa hao wamekamatwa wakiwa na siku 46 na vifaa vingine vya kieletroniki huku wakitarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *