#Local News

WANASIASA WAKASHIFIWA KWA KUAMBATANISHA PICHA ZAO NA MIRADI INAYOFATHILIWA NA UMMA

Huenda wanasiasa wakalazimika kuondoa picha zao katika miradi za umma iwapo ombi la mwanaharakati Laban Omusudi la kuwataka wasitangaze miradi ya umma ikiambatana na picha litaithinishwa na seneti.

Kwa mujjibu wa Omusudi miradi inayofathiliwa na serikali za kaunti imejaa picha za magavana na wawakilishi wadi hali ambayo kulingana naye inawezesha wanasiasa kutumia miradi inayofathiliwa na umma kujitangaza kwa manufaa yao ya kisiasa.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *