#Sports

TIMU ZAPATA UFADHILI

Jumla Ya Timu Kumi Na Tatu Kwenye Michezo Mbali Mbali Zimepokea Fedha Za Ufadhili Kutoka Kwa Idara Ya Michezo Chini Ya Serikali Ya Kaunti Ya Vihiga. Kima Cha Shilingi Milioni 3.5 Zikitolewa Kwa Timu Hizo.

Akizungumza Kwenye Hafla Ya Kutoa Hundi Hizo Gavana Wa Kaunti Ya Vihiga Wilber Khasilwa Ottichilo Anasema Kama Serikali Wanakumbwa Na Changamoto Za Kupata Fedha Za Kuzipatia Timu.

Kwa Upande Wake Waziri Wa Michezo Desma Chelande Pamoja Na Afisa Mkuu Sylvester Kaane Wametaka Usimamizi Wa Timu Hizo Kutafuta Njia Mbadala Za Kupata ufadhili

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *