#International

MVUA KUBWA INAYOENDELEA KUSHUHUDIWA NEPAL YASABABISHA UHARIBU NA MAAFA

Waokoaji wanaendelea kutafuta manusura baada ya mafuriko makubwa yaliyotokea mpakani mwa Nepal na Tibet, yaliyoharibu nyumba, kuzamisha barabara na kusomba madaraja.

Zaidi ya watu 900 hawajulikani walipo huku takriban watu 332 wakiripotiwa kufariki nchini Nepal.

Nchini Tibet, watu wasiopungua 558 wanaripotiwa kutoweka na watatu kuthibitishwa kufariki.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *