#Local News

KENYA KUPOKEA UFADHILI WA MIUNDOMBINU

Miundombinu ya kidijitali nchini inatarajiwa kuimarika kutokana na ufadhili wa shilingi bilioni 50 kutoka kwa benki ya dunia, ambao Kenya imeratibiwa kupokea katika kipindi cha miaka 3 ijayo kuboresha miundombinu hiyo.

Fedha hizo zitatumika kwenye upanuzi wa kasi ya huduma za intaneti, lengo likiwa ni kuwavutia wawekezaji wapya katika sekta ya teknolojia.

Tim Kelly ni mtaalam mkuu wa masuala ya dijitali wa Benki hiyo hapa nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KENYA KUPOKEA UFADHILI WA MIUNDOMBINU

BUNGE LAFUTILIA MBALI VIKAO VYA LEO

KENYA KUPOKEA UFADHILI WA MIUNDOMBINU

REJESHA EDUAFYA, SERIKALI YATAKIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *