SENETA WA MAKUENI AILAUMU SERIKALI KWA KUONGEZEKA KWA UTEKAJI NYARA
Seneta wa Makueni ameilaumu serikali kutokana na kuongezeka kwa visa vya utekaji nyara nchini.
Kauli hiyo inajiri baada ya mhariri wa Standard Group kutekwa nyara na baadaye kuachiliwa.
Seneta huyo ameirai serikali kuchukua hatua za haraka kuhakikisha usalama wa Wakenya unalindwa.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































