KAUNTI SABA NCHINI ZIKO HATARINI KWA MAAMBUKIZI YA MPOX
Kaunti saba nchini bado ziko katika hatari ya maambukizi ya ugonjwa wa mpox.
Jumla ya watu 1,298 wameripotiwa kuambukizwa ugonjwa huo nchini.
Mamlaka za afya zimeendelea kuwataka wananchi kuchukua tahadhari na kufuata ushauri wa wataalamu ili kuzuia kuenea kwa mpox.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































