#Local News

CHAMA CHA WAHARIRI CHAITAKA SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATEKAJI WA ALEX KIPROTICH

Chama cha Wahariri nchini kimeitaka serikali kuwatafuta na kuwachukulia hatua waliohusika na kutekwa nyara kwa Mhariri Msaidizi wa kampuni ya Standard Group Alex Kiprotich.

Chama hicho kimesema tukio hilo ni tishio kwa uhuru wa vyombo vya habari na haki ya wananchi kupata habari.

Rais wa Chama hicho Zubeidah Kananu amesema serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kulinda waandishi wa habari na uhuru wa vyombo vya habari.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *