#Local News

RAIS AMEAGIZA SHERIA KUHUSU AJIRA NA BIASHARA ZA WENYEJI IONGEZWE

Rais William Ruto ameagiza sheria inayopendekezwa kuhusu ajira na biashara za wenyeji iongezwe ili ihusishe biashara ndogo ndogo.

Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wafanyabiashara wa Kenya kuhusu kuongezeka kwa ushiriki wa raia wa kigeni katika biashara ndogo na biashara zisizo rasmi.

Msemaji wa Ikulu, Hussein Mohamed, amesema Rais alipokea malalamiko hayo kutoka kwa wafanyabiashara wa Kenya katika mkutano uliofanyika wiki iliyopita.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *