ESTHER PASSARIS AWATAKA WAKENYA KUPUNGUZA MATUMIZI YA SUKARI
Mwakilishi wa wanawake Nairobi, Esther Passaris, amewataka Wakenya kupunguza matumizi ya sukari.
Amesema fedha zinazotumika kununua sukari zinaweza kuelekezwa kulipa michango ya afya kupitia SHA.
Passaris pia amesema kupunguza sukari kutasaidia kupunguza magonjwa hatari na kuboresha afya.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































