WARUNDI WAMEFIKA KATIKA UBALOZI WAO HAPA KENYA KUJUA HATMA YAO
Mamia ya raia wa Burundi wamefika katika ubalozi wao hapa nchini kufuatia hofu kuhusu hatma yao.
Hii ni baada ya Rais kutangaza kuwa raia wa kigeni wasio na vibali halali wanapaswa kurejea katika nchi zao.
Raia hao wanatafuta maelezo kuhusu hatua hiyo na namna itakavyowaathiri.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































