#Local News

BUNGE LA KAUNTI YA MACHAKOS LAMKOSOA GAVANA NDETI

Bunge la Kaunti ya Machakos limemkosoa Gavana Wavinya Ndeti kwa madai ya kuingilia shughuli za Bunge.

Mzozo huo unatokana na mchakato wa kupitisha bajeti ya Kaunti ya Machakos ya mwaka 2026.

Bunge hilo limemtuhumu gavana huyo kwa kukiuka taratibu na itifaki za uendeshaji wa shughuli za Bunge.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *