NAIBU GAVANA WA ISIOLO AMEKASHIFU KAMATI YA USALAMA YA SAMBURU KWA KUPOKEA SILAHA ZILIZOIBWA
Naibu Gavana wa Isiolo amekosoa Kamati ya Usalama ya Kaunti ya Samburu kwa madai ya kupokea silaha zilizoibwa, akitaka suala hilo lichunguzwe kwa kina Naibu Gavana huyo amesema kupokelewa kwa silaha hizo kunazua maswali kuhusu namna masuala ya usalama yanavyoshughulikiwa katika eneo hilo, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji na kufuata sheria Aidha, amewataka viongozi na vyombo […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































