ENZO FERNÁNDEZ AKAMILISHA VIPIMO KABLA YA KUJIUNGA MAN CITY
Kiungo wa Chelsea Enzo Fernández amekamilisha vipimo vya afya kabla ya kuhamia Manchester City katika dili linalotarajiwa kugharimu zaidi ya pauni milioni 125
Chelsea imekubali kumuuza Fernández baada ya mazungumzo marefu, huku nyaraka na taratibu rasmi za uhamisho huo zikitarajiwa kukamilishwa
Fernández sasa yuko hatua za mwisho kujiunga na Manchester City, katika usajili ambao unatarajiwa kuwa miongoni mwa dili kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































