SERIKALI IMEIMARISHA MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA ATHARI ZA ELNINO
Serikali imeimarisha maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño.
Hatua hiyo inalenga kupunguza madhara kwa wananchi na miundombinu, huku serikali ikishirikiana na wadau mbalimbali.
Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo ya mamlaka husika.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































