#Local News

WAKENYA WALIO NCHI ZA NJEWAMEHIMIZWA KUFUATA SHERIA ZA KUINGIA NCHI HIZO

Wakenya wanaoishi katika nchi jirani wamehimizwa kufuata sheria na masharti ya kuingia katika nchi hizo, ili kudumisha ushirikiano mzuri katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Waziri Mkuu Musalia Mudavadi amesema Kenya inaheshimu ushirikiano na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, na kuwataka Wakenya kuheshimu sheria za nchi hizo.

Kauli hiyo inajiri baada ya Rais William Ruto kuagiza wageni wanaofanya biashara ndogo ndogo nchini Kenya kuhakikisha wana hati na vibali vinavyohitajika.

Imetayarishwa na Jesca Angeyo

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *