WAZIRI WA ELIMU MIGOS OGAMBA ANAONGOZA KONGAMANO LA ELIMU KISII
Waziri wa Elimu Migos Ogamba anaongoza kongamano la elimu mjini Kisii, linalowaleta pamoja wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Wadau hao wanajadili changamoto zinazokabili sekta ya elimu na namna ya kuboresha huduma za elimu nchini.
Kongamano hilo pia linalenga kutafuta njia za kuimarisha ubora wa elimu kwa wanafunzi.
Imetayarishwa na Jesca Angeyo
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































