#Local News

RUTO: NIMETIMIZA AHADI NYINGI NILIYOPEANA KWA WAKENYA

Rais William Ruto amesema ametimiza ahadi nyingi alizowapa Wakenya alipongia madarakani miaka minne iliyopita, akisisitiza kuwa serikali yake imefanya kazi kutekeleza ajenda yake ya maendeleo.

Akizungumza wakati wa ziara katika kaunti za Bomet na Kericho, Rais Ruto amewakosoa viongozi wa upinzani akisema hawana ajenda wala mwelekeo wa kisiasa wa kuongoza nchi.

Ruto pia ameendelea kuitaka jamii ya Kalenjin kujisajili kama wapigakura kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wao katika uchaguzi wa 2027.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *