#Local News

MWANGI WA IRIA NA WENGINE SITA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Aliyekuwa Gavana wa Murang’a, Mwangi wa Iria, na watu wengine sita wamefikishwa mahakamani tena kwa mashtaka ya ufisadi.

Wanadaiwa kuhusika na mkataba wa matangazo uliosababisha hasara ya zaidi ya shilingi milioni 351 kwa Serikali ya Kaunti ya Murang’a.

Wa Iria anadaiwa kula njama ya kutenda ufisadi kati ya mwaka 2014 na 2017.

Imetayarishwa na Jessy Angesh

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *