FICHUA KWA DCI KUPITIA WHATSAPP
Idara ya DCI imezindua nambari maalum itakayowawezesha wakenya kuripoti visa vya ukosefu wa usalama na uhalifu mwingine kupitia mtandao wa Whatsapp.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa kituo cha ‘Fichua kwa DCI’ mkurugenzi wa DCI Mohammed Amin anasema jukwaa hilo limesaidia kuongeza idadi ya ripoti wanazopokea kuimarisha usalama.
Imetayarishwa na Maureen Mukhobe
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































