#Local News

MAHANGAIKOYA KRISMASI

Ongezeko la nauli, uhaba wa magari na msongamano barabarani ndizo changamoto kuu kwa wasafiri msimu huu wa Krisimasi, wahudumu wa magari wakiripotiwa kupandisha nauli hadi maradufu kutokana na idadi ya juu ya wasafiri.

Wengi wa wasafiri wamekwama katika vituo vya magari jijini Nairobi kutokana na ukosefu wa magari, huku wakitoa wito kwa serikali kudhibiti sekta ya matatu ili kuwalinda dhidi ya kupunjwa na wahudumu.

Barabara zilizoathirika pakubwa na msonagamano ni za kuelekea Magharibi mwa nchi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

The Ultimate Guide to Free Bet Promotions

MAHANGAIKOYA KRISMASI

WATAHINIWA WA KJSEA KUREKEBISHA SHULE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *