#Local News

SERIKALI INACHUNGUZA ‘MGENI’ ALIYEWAHADAA WANAWAKE

Hofu imeibuka kuhusiana na usalama wa wanawake nchini kutokana na ripoti ya raia mmoja wa kigeni kudaiwa kuwahadaa wanawake kadhaa na kuwapeleka katika makazi yake nchini, akarekodi na kusambaza picha za siri za wanawake hao bila idhini yao wala ufahamu wa idara ya ujasusi.

Kulingana na msemaji wa serikali Isaac Mwaura, idara ya usalama, upelelezi na ile ya mashtaka zimeagizwa kuchukua hatua Madhubuti kwa ushirikiano na mamlaka za kimataifa, ikizingatiwa kuwa mshukiwa ni raia wa kigeni.

Amewahimiza wakenya kudumisha maadili yao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI INACHUNGUZA ‘MGENI’ ALIYEWAHADAA WANAWAKE

LEBRON HAJUI MUSTAKABALI WAKE NBA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *