#Local News

CHEBOI ASUSIA MWALIKO WA SENETI

Gavana wa Kaunti ya Baringo County Benjamin Cheboi amesema hatahudhuria vikao vya Seneti kufuatia mvutano unaoendelea kati ya taasisi hiyo na magavana.

Cheboi alieleza kuwa hatohudhuria mikutano hiyo hadi pale Seneti itakaposhughulikia kwanza mgogoro uliopo kati yake na viongozi wa kaunti.

Aidha, gavana huyo ameitaka Seneti kutatua tofauti zake na magavana kabla ya kuwaita viongozi hao kujibu masuala mbalimbali mbele ya kamati zake.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *