#Local News

SERIKALI KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MGODI

Familia za walioathirika kutokana na kuporomoka kwa mgodi wa dhahabu katika kaunti ya West Pokot Ijumaa iliyopita, zitapokea msaada wa kifedha kutoka kwa serikali kugharamia matibabu na mazishi kwa watu 15 walioangamia.

Haya ni kulingana na Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen, akizungumza baada ya kuzitembelea familia hizo katika eneo la Romus, akionyesha masikitiko kutokana na idadi ya juu ya wanawake waliofariki kwenye mgodi huo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MGODI

GHARAMA YA MITUMBA KUPANDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *