#Football #Sports

AFC LEOPARDS WAMTEUA BERNARD MWALALA KAMA KOCHA MSAIDIZI

AFC Leopards wamemteua Bernard Mwalala kuwa kocha msaidizi wa kwanza wa klabu hiyo, wakilenga kuimarisha benchi la ufundi kuelekea msimu mpya.

Mwalala anajiunga na AFC Leopards akitokea Bandari, ambako alikuwa akihudumu kama kocha mkuu.

Uongozi wa AFC Leopards unasema uteuzi wa Mwalala utaimarisha kikosi na kuongeza nafasi ya klabu hiyo kupigania mataji katika msimu ujao.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *